Thursday, October 18, 2012

Wanaume....


Pichani Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamo wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Chama cha ASP akiwa pamoja na Baadhi ya Wanamapinduzi ambao walishiriki Katika Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964.

Kutoka Kushoto Kwenda kulia ni Saidi Iddi Bavuai, Khamisi Hemedi Nyuni, Abdallah Saidi Natepe, Pili Khamisi, Abedi Amani K
arume, anayefuatia hajulikani, Kanali Seif Bakari Omari, Hemed Amir na Hafidh Suleiman.

Kwa Picha zaidi juu ya waliotokelezea LIKE Ukurasa "Watanzania Mashuhuri" ili ujifunze zaidi.

Picha ni kwa hisani Kubwa ya Familia ya Mzee Abdallah Said Natepe.

No comments:

Post a Comment