Friday, November 23, 2012

Mkuu wa Mkoa na katibu mkuu wa CCM wapi na wapi?


Mkuu wa mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia) akipotua kwa muda mkoani humo akiwa akitoka Rukwa kwenda Geita asubuhi hii.

No comments:

Post a Comment