Wednesday, November 7, 2012

See how East Africans are overexcited over Obama winning.... these messages posted on facebook just few minutes before and after the Obama's victory speech.



Matokeo ya uchaguzi wa urais nchini Marekani yameanza kutolewa kutoka maeneo mbali mbali ya nchi.
Rais Barack Obama ameshinda katika majimbo ambayo yalikuwa muhimu sana kubaini mshindi wa uchaguzi huu ambayo ni Michigan na Pennsylvania, pamoja na mengine ambayo alishinda katika uchaguzi wa mwaka 2008.
Mwenzake wa Republican Mitt Romney ameshinda katika majimbo mengine muhimu pia ya Republican pamoja na kushinda Indiana ambalo lilimuunga mkono Obama mwaka 2008.
Mamilioni ya watu walijitokeza kupiga kura siku ya Jumanne. Mshindi huenda akajulikana baada ya masaa kadhaa kuanzia sasa hususan huku matokeo katika majimbo mengine muhimu yakitolewa.
Kura za maoni kabla ya kufanyika uchaguzi huu zilionyesha kinyang'anyiro kitakuwa kikali ingawa zilimpa ushindi wa kura chache tu Rais Obama katika majimbo kadhaa muhimu.
Vituo vya kupigia kura vilianza kufungwa mapema katika maeneo ya Mashariki mwa nchi , huku majimbo ya Virginia na Ohio nayo yakifunga mapema.
Kwa sasa kura za Electoral College zinaonyesha Obama yuko nyuma ya Romney kwa kura sita


Evans Musoka Luseno
Hope is that thing inside us that keeps on insisting despite the challenges...Obama
Mwani De Omar Nyangassa
He's back again and his family, wish u best of luck Obama
Gideon Adolph Mwita
Now my time to migrate to America...Soon.
Michael Mhina
Viva "OBAMA" viva
Ngai'son Senior
YES we can,The return of the king.OBAMA is the name.
Chesi Mpilipili
‎...AND THE WINNER IIIIISS.......!!
Zile vitu kampo ilinifunza____
LOL.. News just in: President Mugabe
congratulates Obama for refusing 2 leave
power!!!
Rooney Babydady
Ebwana mjaluo anaendelea tena kutukana tena dunia white house kwa miaka 4 ijayo huyu mtu duniani yule mpinzani wake ss hv anaenda kugombea uenyekiti msimbazi kuchukua nafasi ya RAGE HAYA WANASIMBA MGOMBEA HUYO ANAKUJA MPENI USHIRIKIANO MSISHUKE DARAJA
Majibu Za Walevi
BREAKING NEWS: Somewhere in Kisumu a kid has just been named "Four More Years Onyango"
Zile vitu kampo ilinifunza____
PAUKWA: PAKAWA
URAIS: YA OBAMA
KIKOMBE: YA GOR
AIBU: YA ROOMNEY
NA VIBOKO JE: VYA WANASIASA WA KENYA
Gideon Nkali
‎"If you want to work hard, it doesnt matter, who you are , where you come from............lets work hard to build America" Obama.
Husna Mbwambo
Nampongeza Rais Obama.
Felix Mwakyembe shared Mwani De Omar Nyangassa's photo.
Best family, Congrats Obama!
Sophie Valdez Ally
Congratulation Obama! Bt leo wajaka watapiga mdomo lol!kama wa fans wa Gor
Precisionair Tanzania
Lets congratulate Barack Obama on the Re-election by flying to Obama's ancestral home kenya.
Fly from DAR to MOMBASA on 7th of December or from MOMBASA to DAR on 10th of December 2012 for only 99USD (tax Inclusive)
Hsc George Junior
‎"I wouldn't be where I am today without the woman who agreed to marry me 20 years ago.Michelle I have never loved you more." #Word4Jakom Live from Chicago.
Joe Joab
BARACK:(B)born(A)african(R)raised(A)american(C)complete(K)kenyan
Zile vitu kampo ilinifunza____
‎''You can have self
ambition but always have vision for your
country'' -Obama
Joe Joab
OBAMMAAAAAA..OYEEEE
Hafidh Kido
My President is Black,

I've just picked some important words in his victory speech... "We have find our way back, because we know in our hearts that the best is yet to come. The citizens of America are so strong when it comes to our future, because America is a happy world."
Kassim K. Kassim
FOUR MORE YEARS!!!! GO OBAMA...!
David Allan Sunday
MARTIN LUTHER KING had a dream bt BARACK OBAMA Lives the Dream Again! dont just dream live the dream!!!
Geoffrey Nangai
Furaha ya ushindi. Hapa Obama anapokea simu kutoka kwa mpinzani wake..Tanzania tumejifunza nn?
Gideon Adolph Mwita
B- Black
A- American
R- Real
A- African
C- Completely
K- Kenyan
O- Original
B- Black
A- African
M- Managing
A- America
CONGRAT TO THE FIRST BLACK PRESIDENT ON HIS RE-ELECTION INTO
OFFICE.
Salum Abdallah
Concs Obama.
So is Kibaki giving us another holiday??
Polite Switness
Today am in the mood for giving.....ask for anything it shall be granted.this is becoz obama won offer lasts till today midnight!
Ahmad Issa Michuzi
Sawa Obama ameshinda,je wanasiasa wa nchi zetu za Kiafrika ikiwemo Tanzania,tumejifunza nini ama tunashabikia tu,maana na sisi kwa ushabiki maandazi tuu aaaaahhhh hatujambo kabisa.
Barbie Lee
Obama The Great... Kabaaa uyooo
Vituko uswahilini|Coastlife|raha mombasani|warembo wa pwani.
How many 'Likes' 4 OBAMA!!
Kabuga Kanyegeri
Barack Hussein Obama ametetea wadhifa wake.

CNN
Nic Ogange
United States Lyrics of National Anthem:

Oh, say can you see, by the dawn's early light, 
What so proudly we hailed at the twilight's last gleaming!
Whose broad stripes and bright stars, through the perilous fight, 
O'er the ramparts we watched, were so gallantly streaming? 
And the rockets' red glare, the bombs bursting in air, 
Gave proof through the night that our flag was still there. 
O say, does that star-spangled banner yet wave 
O'er the land of the free and the home of the brave! 

On the shore, dimly seen through the mists of the deep, 
Where the foe's haughty host in dread silence reposes, 
What is that which the breeze, o'er the towering steep, 
As it fitfully blows, now conceals, now discloses? 
Now it catches the gleam of the morning's first beam, 
In full glory reflected now shines on the stream:
'Tis the star-spangled banner! O long may it wave 
O'er the land of the free and the home of the brave. 

Kupewa Visa nayo?

Felix Mwakyembe
Uchaguzi Marekani; Romney ampigia simu Obama na kumpongeza kwa ushindi!!
Vituko za Thika Road
usiseme America, sema O, O, O, Obama!





Mathare University of Insane Creativity
Meet the Witchdoctor who predicted Obamas win ..



No comments:

Post a Comment