Sunday, January 13, 2013

Mawaziri Tanzania wakutana kujadili kero za Muungano....

 Mwenyekiti wa mkutano kujajidili changamoto za muungano mh. Mohamed Aboud Mohamed waziri wa nchi ofisi ya makamu wa pili wa Rais Serikali ya mapinduzi Zanzibar,na mwenyekiti mwenza Mh Samia Suluhu Hassan waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais muungano wakijadili jambo wakati kwa mkutano huo.

 waziri wa nchi ofisi ya rais fedha uchumi na maendeleo Znz  Omary Yusuph Mzee akizungumza na waziri wa fedha uchumi na mipango wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt William Mgimwa wakati wa mkutano huo.


Baadhi ya Mawaziri katika mkutano wa kujadili changamoto za muungano mjini zanzibar leo.

Picha zote kwa hisani ya Ali Meja wa Ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment