leo siongei mambo mengi,nitawaandalia Migogo ya nazi, Sambusa, Bhajia, mkate wa ufuta, maziwa matupu yasiyo na sukari, parachichi (avocado), ndizi mbivu na machungwa. hakikisha unakunywa na maji meeengi usisahau tende.
utashangaa futari yetu ya leo imekaa kiajabu lakini usione ajabu lazima mara nyingine upunguze idadi ya vitu vizito kumengenywa.
HAFIDH KIDO
DAR ES SALAAM, TANZANIA
0713 593894, 0752 593895
23/07/2012
hafidhkido@yahoo.com
No comments:
Post a Comment