Jamani kwa mnaotaka kununua nguo za sikukuu msipate tabu,mtaani kwetu yapo ma-boutique ya ukweli..
Huu ni uzalendo, tanzania kwanza. hapo mnasemaje wadau.
Hawa ni wanunuaji na wauzaji wa vyuma chakavu, biashara hii imeshamiri sana mjini. Inaokoa maisha.
Sasa sijui ni kuchoka ama swaum imebana, leo hii katika daladala.




No comments:
Post a Comment