Bondia mtanzania Omary Kimweri (kushoto) ambaye anaishi
nchini Australia akimtandika Yodpichai Sithsaithong, kwenye pambano
lililofanyika The Melbourne Pavilion, Flemington, Victoria, Australia JULY13,
2012.Huku promota wa pambano hilo akiwa Brian Amatruda Omari Kimweri bondia
huyo mtanzania amekuwa akifanya vizuri katika mapambano yake nje ya nchi
kutokana na umairi wake wa mchezo wa masumbwi mda mrefu na amekua akishi
Australia kwa kutegemea mchezo huo.

No comments:
Post a Comment