Ndugu zangu, Nimeamua kuwaletea picha hizo za vyakula vinavyotumiwa sana kipindi cha mfungo. Kesho Mungu akipenda tutaanza kuwaletea mfululizo wa aina za futari za kula kwa siku hiyo. Nimeiona changamoto hii, watu hasa wenye pesa huwa wanapata tabu sana kuchagua futari,nitawasaidia jembe lenu. hakikisha kila asubuhi unafungua blogu hii kupata futari mpya.....
No comments:
Post a Comment