Saturday, July 21, 2012

Simba jamani leo wamenitia aibu dhidi ya Vita ya Congo. Wametoka moja moja Taddy wa Vita ndie alieanza kuifungia timu yake dakika ya 35, kwa nja ya Penalt baada ya Juma Nyosso kuunawa mpira eneo la hartari na Haruna Moshi dakika ya 65 akaisawazishia Simba. Lakini dakika ya 90 Felix Sunzu, akakosa penalt, si aibu hii jamani kombe la Kagame?

Wachezaji wa timu ya Vita ya Congo, wakimpongeza mwenzao Taddy baada ya kumtungua Kaseja kwa njia ya penalt dakika ya 35 ya mchezo,leo uwanja wa Taifa.

                                       Hiki ndicho kikosi cha leo cha Simba kilichonitia aibu....

No comments:

Post a Comment