.
Thursday, September 27, 2012
Tanzania nzuri jamani
Eldoret hii jamani, Niliingia usiku lakini kwakuwa huu mji ninaupenda nikaamua kubaki na kumbukumbu japo si nzuri.
Hii ni Longido wadau, milima ya Oldonyo Sambu, inapendea kwelikweli jamani Tanzania nzuri kweli.....
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment