Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia michoro ya picha zinazochorwa na
wanafunzi wa Taasisi ya Confucius inayotoa elimu ya Lugha na Tamaduni za
Kichina, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi hiyo ya Chuo Kikuu cha Dodoma. Uzinduzi huo
umefanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Taasisi
ya 'Confucius' ya Chuo Kikuu cha Dodoma,
ambayo ni maalumu kwa ajili ya kufundishia Lugha na Tamaduni za Kichina.
Uzinduzi huo umefanyika leo Aprili 28, 2013 Chuo Kikuu cha Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na wageni baada ya uzinduzi huo. Picha zote kwa hisani ya ofisi ya Makamu wa Rais.
No comments:
Post a Comment