Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Jumuiya ya Ulaya (EU), Jose
Manuel Barroso wakishuhudia utiaji saini makubaliano ya msaada wa fedha Euro
milioni 126.5, Ikulu jijini Dar es
Salaam jana. Utiaji saini ulifanywa na Waziri wa Fedha
Dkt. William Mgimwa (kulia) na Mjumbe wa Maendeleo wa EU, Andris Piebalgs
(kushoto). Msaada huo ni kwa ajili ya matengenezo ya barabara zaidi ya Kilometa
200, upatikanaji wa maji kwa watu 500,000 na kuimarisha mfumo wa maji na usafi
kwa watu 140,000 Tanzania.
(Cheko la matumaini) Hapa Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Jumuiya ya Ulaya
(EU) Jose Manuel Barroso Ikulu jijini Dar es Salaam Ikulu jana.
No comments:
Post a Comment