Saturday, July 21, 2012

Jimbo la Mbunge Vita Kawawa hili jamani. Shule ya Msingi Namtumbo.


Hivi jamani kweli tunaweza kupeleka watoto wenye uelewa wa Dunia katika hatua ya Sekondari? Nakumbuka wakati naanza Sekondari kuna vitu vingi sikuwa nikivijua, yote hii inatokana na mazingira mabovu niliyoandaliwa nikiwa shule ya msingi.


No comments:

Post a Comment