Saturday, December 28, 2013

Nami nilikuwepo kwenye uzinduzi wa kitabu cha 'Simulizi za Mzee Madiba'

Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa kitabu hicho, Mobhare Matinyi (Kulia), akiwa na mwandishi wa kitabu hicho Maggid Mjengwa. Leo jioni katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.  
Nikiwa na mwandishi wa kitabu, Maggid Mjengwa.
Hapa nilimuomba aniwekee saini yake na tarehe kwa ajili ya kumbukumbu....

Hafidh kido
Dar es Salaam Tanzania
28 Desemba, 2013

No comments:

Post a Comment