Sunday, December 8, 2013

Tamasha la Utamaduni la 'Handeni Kwetu' limeiva. Ni Desemba 14, 2013

KARIBU sana Mtanzania mwenzetu katika Tamasha la Handeni, Jumamosi ijayo, Desemba 14 mwaka huu. Ikiwa una lolote, kama ni mgeni unahitaji kuja Handeni, namba zipo kwenye bango hilo.

No comments:

Post a Comment