1. Kamati ya Uchafguzi ya TFF imepitia mchekato mzima we uchaguzi
we Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
(TFF) na Uchaguzi wa Tanzania
Premier League Board (TPL Board) ili kujiridhisha kuwa mchaketo mzima wa
uchaguzi unakidhi kikamilifu matakwa ya Kanuni za Uchaguzì na Katiba ya
TTF. Kamati ya Uchaguzi ya TFF imebaini kuwa kuna matatizo ya kikanuni ambayo
yanapaswa kuzingatiwa kwemza kabla ya kuendelea na mchakato wa uchaguzi.
2. Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira
wa Miguu Tanzania kwa
mamlaka iliyonayo kwa mujibu wa Ibara ya 10(5) ya Kanuni za Uchaguzi za TFF
INASITISHA zoezi la uchaguzi wa Tanzania
Premier League Board (TPL Board) na Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
hadi hapo matatizo hayo ya kikanuni yatakapopata utatuzi.
3. Kamati ya Uchaguzi itawatangazia baadae
tarehe mpya za uchaguzi wa
Deogratias Lyatto
MWENYEKITI
KAMATI YA UCHAGUZI TFF
<
No comments:
Post a Comment