Monday, July 15, 2013

Picha za Arusha.... Zenyewe zinazungumza sina haja ya maelezo.


Mimi na meneja wa Coastal Union Abdulrahman Ubinde. Hii ni mitaa ya Soweto karibu na Mianzini.

Hii sina budi kuielezea, huyu ni mtot wa baba yangu mdogo anaitwa Abuu Ubba, yupo Arusha hapa ni msikiti wa Njiro. Matajiri wa Njiro hupenda kufuturu msikitini.

Balaaaaa.... ati nimekaribishwa mirungi. Nikawaambia mimi situmii hii kitu arifu. Unayaona macho yangu yalivyoshtuka? Basi hii ni zawadi ya meneja Ubinde.

No comments:

Post a Comment