Thursday, June 27, 2013

Tamta Day Shamsiya....

 Muddir wa shamsiya sheikh Muhammad bin Khatib Kigoda, upole na unyenyekevu ndiyo sifa yake. Leo hii Mnyanjani.

 Hili ni kaburi la Sheikh Sero Bin Ally, ndipo watu huenda kuzuru miaka yote. Huyu ni Sheikh wa Sheikh Ayoub bin Khamis ambaye ni baba wa Sheikh Muhhamad bin Ayoub al-maaruf.

 Na hili ni kaburi na Sheikh Ayoub bin Khamis ambaye ni baba wa Sheikh Muhhamad bin Ayoub, lipo Mnyanjani pia kwenye msikiti wa zamani.


 
 Muddir Kigoda akitoka kwenye kaburi la Sheikh Ayoub bin Khamis baada ya kufanya dua na kumuombea makhufira.

 Sheikh Yussuf Asubki akifafanua jambo mbele ya wanafunzi wa shamsiya, kushoto kwake (mwenye miani) ni sheikh Zubery ambaye yupo Dodoma.


Huu ndiwo msikiti wa kale uliopo Mnyanjani, watu wengi huenda kuuzuru kutokana na historia kubwa ulio nao.

No comments:

Post a Comment