Tuesday, November 6, 2012

Hali ya usafiri Dar es Salaam bado nimbaya...


                                         hili ni eneo la mwenge jiji Dar es Salaam jana asubuhi.

Jana nilitaka kuelekea ofisini nyakati za asubuhi, kituo cha Tandale Magharibi kilijaa watu na magari hakuna, na ahata hayo yaliyokuja yalikuwa yamejaa kupita kiasi. Nikaamua kufanya uamuzi wa busara kupanda gari mpaka Mwenge ili niunganishe gari ya Posta.

Balaa nililolikuta huku Mungu na Mtume wake ndiwo wanaojua. Hata baada ya kupanda gari foleni nayo ikaanza kuniumiza. Maana ilinichukua saa moja na nusu ama saa mbili kutoka Mwenge mpaka Posta. Umbali ambao ningeweza kutumia nusu saa kufika kama kusingekuwa na foleni.


No comments:

Post a Comment