Tuesday, November 13, 2012

Tanzania ipo tayari kwa mkutano wa tabia nchi mjini Doha...

Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akibadilishana mawazo na balozi wa umoja wa Ulaya nchini Filberto Ceriani. Wakati wa mazungumzo ya matayarisho ya mkutano wa mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika mjini Doha, Desemba mwaka huu.
Picha kwa hisani ya Ali Meja kutoka ofisi ya Makamu wa Rais.

No comments:

Post a Comment