Thursday, November 8, 2012

Hiki ndicho kikosi cha Taifa Stars kitakachovaana na Harambee Stars ya Kenya katika mechi ya kirafiki ya chama cha soka ulimwenguni FIFA.

Kocha wa timu ya Taifa Kim Poulsen ametangaza kikosi cha Tanzania kitakachojiandaa kwa ajili ya mchezo wa kirafiki unaotambuliwa na FIFA dhidi ya Harambee Stars ya Kenya. Wachezaji walioitwa ni:

 Makipa; Juma Kaseja (Simba SC) na Deogratius Mushi Mabeki; Kevin Yondan (Yanga), Aggrey M orris, Erasto Nyoni (Azam FC), Issa Rashid (Mtibwa Sugar), Nassoro Masoud ‘Cholo’, Shomari Kapombe na Amir Maftah (Simba). 

 Viungo; Salum Abubakar (Azam FC), Amri Kiemba, Mwinyi Kazimoto, Ramadhan Singano na Mrisho Ngassa (Simba), Athuman Iddi , Frank Domayo (Yanga) na Shaaban Nditi (Mtibwa Sugar). Washambuliaji; John Bocco (Azam FC), Simon Msuva (Yanga), Christopher Edward (Simba), Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wa (TP Mazembe).

No comments:

Post a Comment