Thursday, November 8, 2012

Nyepesinyepesi kutoka kidojembe.

Kidojembe imepata nyepesinyepesi muda huu kuwa Hospitali ya wilaya Temeke jijini dar es salaam, watu wamefurika kushuhudia wapenzi waliokuwa wakifanya mapenzi Temeke Lodge, ambapo inadaiwa bwana huyo alikuwa na tabia ya kutembea na mke wa mtu (mwanamke aliegandana nae).

Kwa sasa wamepelekwa Hospitali hiyo baada ya juhudi za kuwatenganisha kushindikana.

kidojembe itaendelea kukupatia taarifa kila tutakapopata kitu kipya kuhusiana na tukio hili....

Hafidh Kido
kidojembe@gmail.com
Dar es Salaam, Tanzania.

No comments:

Post a Comment