Monday, November 12, 2012

Ningekuwa mimi ningemchagua huyu kuwa makamu wangu CCM bara....

Katibu mkuu wa CCM Philip Mangula, mwanasiasa alierithi ujamaa (socialism) kutoka kwa mwalimu Nyerere. Baada ya kumaliza uongozi wake katika siasa aliamua kurudi kijijini kwao na kuwa mkulima. Kwa sasa anagombea nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CCM bara. Ninamkubali sana.....

No comments:

Post a Comment