Monday, November 12, 2012

Hii picha nimetokea kuipenda tu....

Waasisi wa TANU na CCM Bi Mwadawa Ali (85) na Mzee Mohammed Makber (72) wakiwa katika ukumbi wa Kizota mjini Dodoma katika mkutano mkuu wa CCM.

Picha kwa hisani ya Bashir Nkoromo.

No comments:

Post a Comment