Saturday, November 10, 2012

Nipo Tanga...


                        Haya magari ya watoto, je ulishawahi kushiriki kutengeneza ama kuendesha?

                                      Sahib yangu mkubwa Shariff sijaonana nae siku nyingii..


                                          Kikombe cha kahawa hakina choyo mjini Tanga..

No comments:

Post a Comment