Kocha wa simba akiwa na wenzake katika benchi la ufundi wakiumiza kichwa.
Wachezaji wa simba wakiwa hawaamini kilichotokea juzi katika uwanja wa jamhuri.
Na Baraka Mbolembole, Aliyekuwa Morogoro
Kwa takribani miaka sita nimekuwa karibu na kambi ya Simba Sports Club, hasa inapokuwa inakabiliwa na michezo katika Manispaa ya Morogoro. Kabla sijaanza kuandika nilipenda kuwa karibu na timu hiyo kwa sababu ya kujifunza baadhi ya maisha ya wachezaji wa ligi kuu. Zaidi mimi ni mshabiki wa timu hii tangu kuzaliwa kwangu. Nikaona ni bahati kubwa kwa timu ya ndoto kuja mtaani kwetu na kuweka kambi ya muda mrefu wakati ule uwanja wa Uhuru, ulipofungwa kwa matengenezo madogo.
Na hata wakati ule wa michuano ya ligi kuu ndogo, kwani, Simba, ilikuwa imepangwa katika kituo cha Morogoro. Mida ya asubuhi na jioni, ndiyo huwa napendelea kuichunguza timu hii, kwani huo ndiyo muda wa soka kwa mwanasoka, muda anao amka na anao lala nilipenda kutambua na kujifunza kutoka kwao. Nilikuwa na miaka 20 tu, na nilitamani kuwa mwanasokakama
wao ( wale wa Simba) pia nilipenda kuwafuatilia sababu pia ni timu niipendayo.
Lakini kwa mara ya kwanza niliona kichefuchefu, nakumbuka kuna mwandishi mmoja ambaye alikuwa akiandika katika magazeti ya BINGWA na DIMBA, na sasa anaandika katika gazeti moja la michezo linalotoka mara mbili kwa wiki, nikamtumia sms na kumwambia, " Kaka, huyu, daah! Nimemkuta (Jina la mchezaji kapuni) katika uchochoro fulani hivi na ka- house girl, wa nyumba ya mshkaji na kesho wanacheza mechi naAshanti
United ( wakati ule wa ligi ndogo), hivi huwezi kuwaandika hawa, Kaka?"
Sikuwahi kujibiwa sms hii na hadi leo kalamu ya mwandishi huyu haijawahi
kuandika chochote kuhusiana na mambo kama
haya.
Nilipopata nafasi ya kushika kalamu nikasemea "Asante ... Kuna siku nitaitumia
kalamu yangu kuandika mambo haya kwa uwazi na ukweli, na kamwe haitamuhukumu
Mwanasoka. Itamuhukumu ' hawala wa mchezo' ambaye amevamia mchezo hasioufahamu
miiko ya mchezo. Kwani Mwanasoka akiwa anatakiwa kuwa mwadilifu wa kambi na
ayefuata kanuni husika za klabu na miiko muhimu ya kuzingatia ili kulinda
kiwango chake kwa manufaa yake na klabu yake. Lakini kwa Mwanasoka kamwe
hataichukia kalamu hii zaidi ya kuipenda na kuisifia, kwani itawaondoa '
mamluki wanaowatia nuksi' katika malengo yao .
Haya ndiyo madudu ya KLABU YA SIMBA SC ilipokuwa Morogoro.
SIKU SITA ZA SIMBA MORO NA POINTIYAO
MOJA: NA KOCHA MILOVAN
Kwa takribani miaka sita nimekuwa karibu na kambi ya Simba Sports Club, hasa inapokuwa inakabiliwa na michezo katika Manispaa ya Morogoro. Kabla sijaanza kuandika nilipenda kuwa karibu na timu hiyo kwa sababu ya kujifunza baadhi ya maisha ya wachezaji wa ligi kuu. Zaidi mimi ni mshabiki wa timu hii tangu kuzaliwa kwangu. Nikaona ni bahati kubwa kwa timu ya ndoto kuja mtaani kwetu na kuweka kambi ya muda mrefu wakati ule uwanja wa Uhuru, ulipofungwa kwa matengenezo madogo.
Na hata wakati ule wa michuano ya ligi kuu ndogo, kwani, Simba, ilikuwa imepangwa katika kituo cha Morogoro. Mida ya asubuhi na jioni, ndiyo huwa napendelea kuichunguza timu hii, kwani huo ndiyo muda wa soka kwa mwanasoka, muda anao amka na anao lala nilipenda kutambua na kujifunza kutoka kwao. Nilikuwa na miaka 20 tu, na nilitamani kuwa mwanasoka
Lakini kwa mara ya kwanza niliona kichefuchefu, nakumbuka kuna mwandishi mmoja ambaye alikuwa akiandika katika magazeti ya BINGWA na DIMBA, na sasa anaandika katika gazeti moja la michezo linalotoka mara mbili kwa wiki, nikamtumia sms na kumwambia, " Kaka, huyu, daah! Nimemkuta (Jina la mchezaji kapuni) katika uchochoro fulani hivi na ka- house girl, wa nyumba ya mshkaji na kesho wanacheza mechi na
Nilipopata nafasi ya kushika kalamu nikasemea "
SIKU SITA ZA SIMBA MORO NA POINTI
Simba ilifikia katika, Hotel ya Usambara, ambayo humilikiwa
na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, Mzee Yusuph Makamba. Kuna wachezaji waliolala
katika vyumba vya gharama ya 20,000, na wapo waliolala katika vile vya gharama
ya 25, 000. Kocha Milovan Curkovic, yeye aliandaliwa chumba cha gharama ya 50,
000. Vikaanza vioja. Kocha akakataa kufikia Hotel isiyo na huduma ya Internet.
Viongozi kwa kushirikiana na Meneja wa Hotel hiyo wakamtafutia Kompyuta yenye
huduma ya Internet, lakini, Milovan, akakataa na kusema kwa kiswahili kizuri
'Nataka yenye wireless' viongozi wachache tena wa ngazi ya chini, wakashindwa
na kuingia katika mtego wa Milovan, ambaye tangu awali alionesha kutotaka kukaa
katika Hotel ile. Golikipa wa makipa wa timu hiyo akasema ' Hana lolote, hakuna
cha Internet wala nini anataka Mwanamke tu huyo kocha hamna kitu na sasa
anaongea hadi Kiswahili...' alikuwa akiongea mbele ya wachezaji wachache.
Milovan, akaamishiwa katika hotel yenye hadhi zaidi na gharama ya chumba ni zaidi ya 60, 000. Hakwenda pamoja na timu akitokea hotelini. Simba walitoka zao kivyao kutokea, Usambara, Milovan, akatokea ARC Hotel. Wakapata pointi moja mbele ya Polisi Moro.
WACHEZAJI:
Walikuwa hurusana
na walionekana kupitapita baadhi ya mitaa. Hawakuwa na kiongozi imara. Na hata
meneja, Nico Nyagawa, hakuweza hata kuwaonya katika lugha ya mpira. Yote sababu
Nyagawa naye anatambulika kama mchezaji
klabuni hapo na mkataba wake unamalizika punde na kuna timu anakwenda kuichezea
katika mzunguko wa pili wa ligi kuu msimu huu. Angesema nini? Angemkanya nani?
Tatizo la wachezaji likaanzia kutokuwa na uongozi kambini, kocha yupo umbali
kiasi na hata nahodha, Kaseja, hayupo sawa kiutulivu, kuna mambo mabaya
anayaona yakifanyika lakini anatetea ajira yake. Unajua kwa nini alilia sana ?
SIKU MBILI KABLA YA KUIVAA MTIBWA
Katika hotel, ambayo wachezaji walifikia, na kuwepo hapo chini ya uongozi wa " Kishkaji na Majungu" wakaingia wapangaji wengine, walikuwa kundi kubwa la wasichana zaidi ya 300. Pakawa hapotoshi. Wasichana hawa ni wale wakaguzi wa vyuo vya juu. Nao wakapigwa na bumbuwazi, walionakama ndoto
vile kukutana na mastaa wa soka nchini. Waliwaona, Mrisho Ngassa na utitiri wa
majina makubwa katika soka la nchi yetu.
Ukawa mtihani mkubwa. Mwenye mbinu bora ndiye angeufaulu. Baadhi ya wasichana wakaamua kubaki pale na kutandika vya kulalalia kwani, hotel zote za jirani zilijaa. Mtego ukaanzia hapo. Na baadhi ya wasichana walifauru vizuri, kwa sababu walikuwa na mbinu na maarifa zaidi ya baadhi ya mastaa wa Simba. Wenye uchu na tamaa walinaswa kirahisi na wakachangia asilimia 75 ya kipigo cha timuyao mbele ya Mtibwa.
KIGGY MAKASI NA WENZAKE NA KUNDI WA WAPENDA NGONO SIMBA
Milovan, akaamishiwa katika hotel yenye hadhi zaidi na gharama ya chumba ni zaidi ya 60, 000. Hakwenda pamoja na timu akitokea hotelini. Simba walitoka zao kivyao kutokea, Usambara, Milovan, akatokea ARC Hotel. Wakapata pointi moja mbele ya Polisi Moro.
WACHEZAJI:
Walikuwa huru
SIKU MBILI KABLA YA KUIVAA MTIBWA
Katika hotel, ambayo wachezaji walifikia, na kuwepo hapo chini ya uongozi wa " Kishkaji na Majungu" wakaingia wapangaji wengine, walikuwa kundi kubwa la wasichana zaidi ya 300. Pakawa hapotoshi. Wasichana hawa ni wale wakaguzi wa vyuo vya juu. Nao wakapigwa na bumbuwazi, waliona
Ukawa mtihani mkubwa. Mwenye mbinu bora ndiye angeufaulu. Baadhi ya wasichana wakaamua kubaki pale na kutandika vya kulalalia kwani, hotel zote za jirani zilijaa. Mtego ukaanzia hapo. Na baadhi ya wasichana walifauru vizuri, kwa sababu walikuwa na mbinu na maarifa zaidi ya baadhi ya mastaa wa Simba. Wenye uchu na tamaa walinaswa kirahisi na wakachangia asilimia 75 ya kipigo cha timu
KIGGY MAKASI NA WENZAKE NA KUNDI WA WAPENDA NGONO SIMBA
Katika miaka ya 90, timu ya Liverpool
ilikuwa na kikosi bora cha mchanganyiko wa wachezaji wazoefu na wale wenye umri
mdogo, na waliokuwa wakisifika kwa mchezo wa mzuri. David James, Robbie Fowler,
Jammie Reddknapp, Steve McManamann, Paul Ince, walikuwa wachezaji bora katika
soka la Uingereza, lakini hawakuwahi kupata mafanikio yoyote hadi pale
walipotawanyika katika timu hiyo. Chini ya nyota hawa, Liverpool, ikaanza
kupoteza makali uwanjani na kuwa wapambaji wa magazeti, baada ya nyota hao
niliowataja kuimarisha zaidi jina lao la " Spice Boys" na kuwa
maarufu na bora zaidi nje ya uwanja, wakitumia muda mwingi kujirusha na
kuiporomosha timu yao .
Wakati Kiggy Makasy akiwa bado anajiuguza, alikuwa mchezaji wa kwanza wa Simba, kuwatia ' nuksi' alifanikiwa kumpata mwanachuo, mmoja ambaye alikosa chumba na kwenda kulala naye. Sijui walichofanya, macho yangu yaliishia hapo. Ghafla nikamuona Mrisho Ngassa, anashuka maeneo ya jirani ambako kuna wanachuo walifikia alichelewasana
kurejea katika chumba chake. Pia waliongiza wasichana katika vyumba vyao ni
Nassoro Chollo, ambaye alifungisha bao la pili kwa kupiga ' pasi mkaa' kwa, na
wengine ambao binafsi niliwaona ni, Ramadhan Chombo na mchezaji mmoja hivi
simtaji kwa heshima ya ndoa yake changa. Ilikuwa ni usiku wa Jumamosi, kuamkia
siku ya mchezo, Jumapili na wakachezea za kutosha tu, pale, Jamhuri. Chollo,
Ngassa, Redondo, wote waliwekwa nje katika kipindi cha kwanza. Na hata,
walipoingia walifanya nini? Chollo kumtoa machozi Kaseja, kwani hakuwa fiti
kabisa na kama angekuwa fiti angesogea na
mpira mbele lakini alilala na msichana akawa na uchovu, taabu ya nini?
Akachoma, lango lake.
JUMA KASEJA
Kwa kipindi chote tangu naanza kumfahamu miaka kumi, iliyopita, nimegundua, tabia nyingi za ajabu kuhusu, nahodha huyu wa Simba na Taifa Stars. Ni msirisana , mcheshi, mwenye
kupenda ushirikiano, anayejituma, mwenye hitaji la ushindi katika moyo wake.
Lakini, kama mwanadamu mwingine, Kaseja, naye
ana wivu. Wivu wa kufanikiwa na kuendelea kuwa juu. Nadhani vitu hivi ndivyo
vilivyomsaidia sana
kuwa miongoni mwa makipa bora kuwahi kutokea nchini. Atakumbukwa kwa mengi sana mazuri, ambayo ameyafanya katika wakati wake na hadi
sasa bado namtambulisha kama ' Hasiyegusika wala kufananishwa" Nani kama yeye? Nani anayekuja kuvaa ' glovu' zake? Hakuna, hilo ndiyo jibu sahihi.
Kwa muda wote wa uwepo wa timu pale hotelin, Kaseja aliweka akili yake katika
michezo miwili ya timu yake dhidi ya Polisi Moro na Mtibwa, alikuwa muda mwingi
mwenye kuswali.
SHOMARI KAPOMBE:
Wakati Kiggy Makasy akiwa bado anajiuguza, alikuwa mchezaji wa kwanza wa Simba, kuwatia ' nuksi' alifanikiwa kumpata mwanachuo, mmoja ambaye alikosa chumba na kwenda kulala naye. Sijui walichofanya, macho yangu yaliishia hapo. Ghafla nikamuona Mrisho Ngassa, anashuka maeneo ya jirani ambako kuna wanachuo walifikia alichelewa
JUMA KASEJA
Kwa kipindi chote tangu naanza kumfahamu miaka kumi, iliyopita, nimegundua, tabia nyingi za ajabu kuhusu, nahodha huyu wa Simba na Taifa Stars. Ni msiri
SHOMARI KAPOMBE:
" Masikini, Kapombe, amegombana na Kaburu, hadharani
vile... Sijui maisha yake yatakuwaje, Simba?" Ni maneno ya mwanachama
mwandamizi wa Simba, akizungumzia kitendo cha mlinzi kinda wa timu hiyoa
Kapombe, kurushiana maneno makali na Makamu Mwenyekiti wa klabu yake, Geofrey
Nyange Kaburu, ambaye alikuwa akimshutumu Kapombe kama sehemu ya kufungwa kwa
timu yao na Mtibwa Sugar. Awali wakati mchezo ukienda mapumziko, Kapombe
alionekana kuanza kumrushia maneno makali ya kumshutuma Felix Sunzu. Kabla ya
Sunzu, kuanza kumjibu, lakini haraka, Kaseja, akawatuliza.
Wakati wakiwa, hotelin, mlinzi wa kimataifa kutoka Kenya, Paschal Ochieng, alikuwa akiwaambia, Amir Maftah na Kapombe, kuwa wawe makini, kwani ndiyo waliochangia, Polisi Moro, kupata, bao wakati wa mchezo baina yao. Akawa anawaelekeza maeneo ambayo walitakiwa kuwepo, alimwambia, Maftah, kuwa alipitika kirahisi na kuruhusu, krosi ambayo ilizaa bao pekee la Polisi, na akamwambia, Kapombe, kuwa hakuwa katika eneo sahihikama
mlinzi wa kati. Kapombe, akamjibu ' hata wewe hukuwa katika eneo lako'. Dogo,
huyu hivi ameota ' majipu kwenye kwapa zake' naye ' hagusiki' kwa mpira gani?
Ule wa kukimbizwa na ' Babu, Kisiga?' chunguza vizuri sababu ya mabao
waliyofungwa Simba na Polisi kisha Mtibwa Sugar, utagundua kuwa Kapombe
hagusiki Simba.
MSIKILIZE OBADIA MUNGUSA ANAVYOMZUNGUMZIA KABURU
Wakati wakiwa, hotelin, mlinzi wa kimataifa kutoka Kenya, Paschal Ochieng, alikuwa akiwaambia, Amir Maftah na Kapombe, kuwa wawe makini, kwani ndiyo waliochangia, Polisi Moro, kupata, bao wakati wa mchezo baina yao. Akawa anawaelekeza maeneo ambayo walitakiwa kuwepo, alimwambia, Maftah, kuwa alipitika kirahisi na kuruhusu, krosi ambayo ilizaa bao pekee la Polisi, na akamwambia, Kapombe, kuwa hakuwa katika eneo sahihi
MSIKILIZE OBADIA MUNGUSA ANAVYOMZUNGUMZIA KABURU
" Unajua hivi sasa sipo na timu, kuna mambo hayapo
sawa kati yangu na Bosi, Kaburu. Unajua yeye ndiye aliyenisainisha mkataba
wakati nasajiliwa na Simba, hivyo kila kitu ananisimamia yeye" anasema
mlinzi huyo ambaye hayupo kikosini hivi sasa. ' Unajua wakati wananisajili kuna
makubaliano ambayo kimsingi pande zote zilitakiwa kuyatekeleza, lakini haikuwa
hivyo. Ndipo nikajaribu kuulizia mbona makubaliano wanayakiuka na wala hayakuwa
kama hali ilivyokuwa, Ikawa, kosa, kwanza alinionesha dhaharu kubwa sana , pia aliniambia wazi
naweza kuondoka, kwani sina nafasi ya kucheza. Akaniambia wewe tafuta tu timu,
Simba huna nafasi. Sikuwa na jinsi nikatafuta timu nyingine, lakini kuna
wachezaji wanaonekana wana thamani zaidi ya wengine kikosini, labda hiyo ndiyo
sababu ya wachezaji wengine kudharaulika. Ukitazama aliwaleta wachezaji kama Kanu Mbiyavanga, Linno Musombo na Mussa Mudde baada
ya kuwapatia pesa nyingi, lakini walifanya nini walipokuja? Kwa nini pesa kama ile tusipewe wazawa? Kwani hao wageni hawana jipya
lolote"
" Unajua nimerudishwasana nyuma kwa
kipindi ambacho nimekuwa, Simba, lakini nimejifunza mambo mengi sana kama mchezaji wa
soka. Lakini nitabaki namshangaa, Kaburu kuanzia namna anavyoyachukulia
matatizo ya wanadamu wenzake hadi katika uongozi wake wa soka. Unajua usajili
anafanya yeye, si mbaya lakini amekuwa akikurupuka sana kwani akiambiwa mahali fulani kuna
mchezaji anakwenda na kumsajili, na ndiye aliyewaleta kina, Ochieng baada ya
kina Musombo kuonekana si wachezaji wazuri, pia amekuwa akiingilia hadi mambo
ya utawala wa benchi la ufundi, sasa unabaki unajiuliza huyu ni kiongozi wa
soka kweli?"
Je,kama mambo yatawekwa sawa na kupewa
anachodai, Mungusa anaweza kurejea katika timu hiyo?
" Nina uchungusana na kilichonitokea
katika klabu hiyo ( Simba) kwanza mtu unakuwa na majeraha ya mara kwa mara tena
yasiyoeleweka, halafu unakuta tena kwenye malipo wanakuzingua, mimi nina
majukumu yangu pia. Kuna viongozi wamekuwa wakinipigia simu na kuniambia
nirejee kikosini na nijishushe kwa Kaburu, kwa madai kuwa ndiyo tabia yake.
Lakini sidhani mana nina hasira nao sana "
" Kwa mfano mechi ya juzi hadi yule mtoto kacheza! Simba ndiyo imekuwa hivyo sasa?" anahoji mlinzi huyo mwenye miaka 24. " Kama ipo ipo tu, nasubiri dirisha dogo kujua nini kitatokea"
OKWI NAYE NI TATIZO KUBWA SIMBA SC
Ni mchezaji mzurisana na anajitolea kwa timu yake, lakini ni kama kila mtu ndani ya timu hiyo ameekeza nguvu zake kwa
Mganda huyu kitu ambacho ni hatari. Kuna tetesi za chinichini kuwa baadhi ya
wachezaji wazawa wamekuwa wakichukia kuona Okwi anavyotazamwa zaidi ndani ya
timu hiyo kuliko wachezaji wengine. Ni lazima timu itazame upya namna ya
kucheza michezo mfumu bila Okwi kwani tayari wapinzani wengi wamekuwa
wakimuandalia mikakati ya kumzima na sasa wameanza kupata dawa yake. Amewaambia
wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kuhama na kutafuta timu nyingine ya
kushangilia kama wanaumizwa zaidi kuliko wao
na matokeo ya timu hiyo hivi sasa. Hi ni kauli ya mwisho inayoweza kuthibitisa
kuwa hivi sasa yeye ndiye staa zaidi kikosini. Ameingia katika mzozo mkubwa na
wachezaji wazawa kwa sababu ya dharau zake.
MENEJA/ MISHAHARA YA MAPROO
" Unajua nimerudishwa
Je,
" Nina uchungu
" Kwa mfano mechi ya juzi hadi yule mtoto kacheza! Simba ndiyo imekuwa hivyo sasa?" anahoji mlinzi huyo mwenye miaka 24. " Kama ipo ipo tu, nasubiri dirisha dogo kujua nini kitatokea"
OKWI NAYE NI TATIZO KUBWA SIMBA SC
Ni mchezaji mzuri
MENEJA/ MISHAHARA YA MAPROO
Simba inatakiwa kuwa na meneja imara na mwenye kuripoti
taarifa za siri kwa uongozi kuhusiana na wachezaji ambao hukiuka miiko ya kambi
na kuchangia matokeo mabaya uwanjani. Nyagawa hawezi jukumu hili. Mishahara ya
wachezaji wengi wa kigeni ndani ya timu hiyo kwa miaka ya karibuni imekuwa
ghali sana , na hilo limepelekea sononeko lisilokwisha kutoka
kwa wachezaji wengi wazawa, ambao hulipwa mishahara kiduchu, wale wazawa
wanaoona wenzao wanapendelewa mno wakati hawatoi matunda mazuri uwanjani. Nalo
hili litazamwe.
Picha zote pamoja na habari ni kwa hisani ya blogu ya Shaffih dauda mwanamichezo mashuhuri na mtangaziji wa radio na TV Clouds ya jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment