Baada ya kampeni za
miezi kadhaa , vituo vya kupiga kura vinatarajiwa kufunguliwa hivi karibuni
katika uchaguzi wenye ushindani mkali na ambao ulikuwa na kempeini zenye
kugharimu pesa nyingi zaidi kuwahi tumika katika historia za uchaguzi Marekani.
Rais Obama alitoa wito wake wa
mwisho kwa wapiga kura katika mkutano wa kisiasa uliofanyika katika jimbo la Iowa hapo jana.
Ushindani katika uchaguzi huu ni mkali sana na mpinzani wa rais Obama wa chama cha Republican
Mitt Romney amekuwa akiyazuru mara kwa mara majimbo mawili makuu Ohio na Pennsylvania .
Lakini
kura hiyo inaashiria pia huenda idadi ya watu watakao jitokeza kupiga kura
ikawa kubwa miongoni mwa wafuasi wa Romney
Kura
za kwanza zilipigwa katika eneo la Dixville Notch katika jimbo la New Hampshire ambapo
wagombea wote walitoka sare.
Chanzo BBC Swahili
No comments:
Post a Comment