Wednesday, November 14, 2012

Wakati huo nikijulikana kama fidodido kutokana na uwembamba...

 Hii ilikuwa ni mwaka 1995, nikiwa shule ya msingi Bombo tulikwenda katika ziara ya kimasomo Hale kuangalia uzalishaji wa umeme kwa kutumia maji ya mto Pangani.

 Jitazame kama upo katika picha hii halafu tupia maoni yako. Darasa la saba hii mwaka 1998. Bombo Primary School Tanga.

 Baada ya kumaliza mtihani wa darasa la saba tulioufanya katika shule ya msingi Mkwakwani baada ya Bombo kujaa, wa kwanza kushoto Zena Mzee 'madaha' Hafidh Kido 'fidodido' Mwinyusi Mwaropa 'mbweha' Hamisi Omary 'domo kaya' na Hamad Mohammed 'Modo'..... Dah nimeweza kuyakumbuka majina yote ya utani shule... nipo juu.

Hapa ni baada ya kufanya mtihani wa Mock darasa la saba. Nikiwa na Mathias Anthony 'rangi mbili'. Nilikuwa mdogo eennnhh?

No comments:

Post a Comment