Monday, November 12, 2012

Una kipaji cha ngoma za asili na upo Ujerumani? soma hii


Umoja wa Tanzania Ujerumani (UTU)

Wasanii wa Ngoma, kwaya na Sarakasi wanahitajika

Umoja wa Watanzania Ujerumani, unafuraha kutoa wito kwa wasanii wa Tanzania wanaoishi nchini Ujerumani, wenye vipaji vya kupiga na kucheza ngoma za kiasili, sanaa za maonyesho kama sarakasi, na waimbaji wa kwaya, kujitokeza hili kuunda kikundi cha ngoma za kiasili. Wasanii tunawaomba muwasiliane na Mwenyekiti wa UTU namba ya simu 
 +49(0)1734298997.
Wasanii wa Tanzania mnaoishi Ujerumani mnaombwa kutokalia vipaji vyenu majumbani, tafadhalini tumieni nafasi hii kujitangaza.
Kuutangaza utamaduni wa nchi yetu. Mfano mnauona kwa wanamuziki wa dansi wanajitangaza.
Wasanii tumieni nafasi ,jitokezeni kwa wingi kuunda kundi.
    
Umoja ni Nguvu
Mfundo Peter Mfundo
Mwenyekiti (UTU)
email. kamati.utu@gmail.com      simu 01734292997

No comments:

Post a Comment