Saturday, November 3, 2012

Watanzania zamani waliitumia UVCCM kuandaa viongozi, lakini UVCCM ya sasa inanuka rushwa.

Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili kushoto), Aliyekuwa Mkuu wa Mikoa  Mbalimbali hapa Nchini, Bwana Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (wa tatu kushoto) na wa mwanzo upande wa kulia ni Kijana wa Mjini William Vangimembe Lukuvi.

picha hii ilipigwa Miaka ya 80 wakati huo Vijana hawa wakiwa ni Viongozi wa Jumuia ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM).

Kwa Picha zaidi juu ya waliotokelezea LIKE Ukurasa "Watanzania Mashuhuri" ili ujifunze zaidi.

No comments:

Post a Comment