Tuesday, January 22, 2013

Ajali kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo jana...

Ipo haja ya kuwa na bima imara kwa ajili ya gari lako. Maana magari haya yaliyopata ajali ya kuangukiwa na ukuta katika kituo cha mabasi Ubungo jijini jana, ikiwa wana bima uchwara wasahau kulipwa.

Picha kwa hisani ya global publishers...

No comments:

Post a Comment