Thursday, January 17, 2013

Zanzibar kiza.....

 Mafundi wa shirika la umeme Zanzibar wakihangaika kuhakikisha hali ya umeme inarudi vizuri baada ya kituo cha mji mkongwe kuleta hitilafu katika eneo la Darajani mjini Unguja jana usiku.


Meneja mkuu wa shirika la umeme Zanzibar Hassan Ali akimueleza makamu wa pili wa Rais zanzibar Balozi Seif Idd, namna wanavyolishughulikia tatizo hilo kwa haraka.No comments:

Post a Comment