Wednesday, January 9, 2013

Forodhani ndiyo bandari ya kwanza mjini Unguja. Ilikuja kubadilishwa na Waingereza ndipo Bandari ikahamishwa pembeni kidogo eneo la Malindi.

 Bandari ya samani hii, lilipo eneo la forodhani kwa sasa. Asili ya neno hilo forodhani ni Forodha ama bandari.


 Jumba lamaajabu hili linavyoonekana.... Ndiyo utambulisho wa Zanzibar, liliwahi kushambuliwa na waingereza katika vita vifupi kuliko vyote duniani. Lilijengwa mwaka 1883 na Sultan Baraghash bin Said Bin Sultan kama jumba la starehe..

                           Vichochoro vya majumba ya mawe hivi. Ukiingia lazima upotee kwanza.

                                                  Maisha ni magumu sana mjini Unguja....

No comments:

Post a Comment