Tuesday, January 22, 2013

Makamu wa Rais Tanzania ashiriki mazishi ya makamu mwenzie wa Rais Zimbabwe...

 Makamu wa Rais wa Tanzania akizungumza na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe alipokwenda kuhudhuria mazshi ya makamu wa Rais wa nchi hiyo jana.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka shada la maua kwenye kaburi la Makamu wa Rais wa Zimbabwe Marehemu Dkt. Landa John Nkomo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana  kwenye Makaburi ya Mashujaa jijini Harare. (Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment