Thursday, October 11, 2012

Haya siyo machimbo bali ni utafutaji wa vyuma chakavu.

Huu ni mto Ng'ombe unaotenganisha Tandale Uzuri na Kijitonyama Ali Maua. Nilipita nyakati za mchana nikirudu nyumbani nikakutana na hawa jamaa wapo kati kati ya tope zito wakiminyana na chuma chakavu kilichosimikwa siku nyingi. Sijui kama watakiwza maana hawakuwa na vifaa vyovyote vya maana.

No comments:

Post a Comment