Friday, October 5, 2012

Imebaki miaka mitatu ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania kuisha tangu ilipotolewa miaka saba iliyopita...


Wafanyabiashara wa mbogamboga wakichapa usingizi katika soko jipya la NMC jijini Arusha baada ya kukosa wateja, wafanyabiasha hao walifukuzwa katika soko la Arusha na kutakiwa kuhamia katika eneo hilo.       

                                          
  Picha na Jackson Odoyo, Arusha

No comments:

Post a Comment