Wednesday, October 17, 2012

Zanzibar haikaliki baada ya kutangazwa taarifa za kutekwa kiongozi wa UAMSHO...

Sheikh Farid, kiongozi wa kikundi cha waislam Zanzibar UAMSHO. Ambae inadaiwa amepotea katika mazingira ya kutatanisha.


Haya ni ameneo ya kisonge mjini Unguja, ambapo waislamu wa mji huo wamechoma moto baadhi ya mali kuonyesha hasira zao kwa serikali ya Zanzibar baada ya taarifa za kutekwa kwa Sheikh Farid kusambaa mjini humo. kidojembe inaendelea kufanya uchunguzi ili kupata taarifa sahihi juu ya tukio hili. maana sioni kama zinatosha nahitaji kuchimba zaidi.

No comments:

Post a Comment