Friday, October 12, 2012

Kesho Coastal tunamkabili Mnyama tukiwa katika msimamo huu. Tuna Point 9, tumecheza mechi 6, tumeshinda 2, suluhu 3, tumefungwa 1 na Ruvu Shooting. Simba wao wana Point 16, wamecheza mechi 6, wameshinda 5, suluhu 1 na hakuna hata moja waliyopoteza..... Mungu tusaidie.


No comments:

Post a Comment