Friday, October 19, 2012

Jamani urais mtamu....


Sayyid Fahad Mahmood Al Said, Naibu Waziri Mkuu wa Oman, akimkaribisha Rais Kikwete ofisini kwake mjini Muscat jana. Kiwete yupo nchini Oman kwa ziara ya siku tatu aliyoalikwa na Sultan Qaboos bin Said Al Said. Picha na Fredy Maro wa Ikulu.

No comments:

Post a Comment