Wednesday, October 10, 2012

Ukiutaka urais lazima ujihusishe na kila kitu katika jamii....

 Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, akizungumza na washiriki wa Redds Miss Tanzania mwaka huu walipomtembelea nyumbani kwake Monduli ili kupata mawili matatu kutoka kwake.

Hapa akiagana na mmoja wa wakuu wa msafara huo ambao wapo mjini Arusha kutembelea vivutio vya kitalii ili mmoja wao atakaponyakua taji hilo awe na uelewa wa vivutio hivyo na kuvitangaza vema kwa washiriki wa shindano na dunia.

Picha kwa hisani ya mjengwa blog.

No comments:

Post a Comment