Thursday, October 25, 2012

Sasa wanaanza kuandamwa viongozi wa BAKWATA...Picha ya juu na chini zinaonyesha namna jeshi la polisi lilivyoshughulika kufuatia kupigwa kitu kinachohisiwa ni bomu nyumbani kwa katibu wa bakwata mkoa wa Arusha Abdul Kareem Jonjo.

Baadhi ya vongozi wa ulinzi na usalama mkoani humo wakiongozwa na mkuu wa mkoa walikuwa kwenye matukio mbali mbali nyumbani na hospitalini jijini humo mtaa wa kanisani kata ya Sokoni.
(picha na zote na mahmoud Ahmad)

No comments:

Post a Comment