Wednesday, October 10, 2012

Yametimia, Zanzibar wameshapata umeme kutoka Tanzania bara kupitia njia ya bahari....

 Meli kubwa yenye jina la FUKADA SALVAGE ikifanyakazi ya kuutandaza Waya Mpya wa Umeme utakaotokea Tanzania Bara mpaka Zanzibar,hafla ya Uzinduzi wa utandikaji wa Waya huo imefanyika huko Fumba Wilaya ya Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akisikiliza maelezo ya kitaalamu kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Mradi ambae pia ni Mshauri Mwelekezi Johan Swan (wa mwisho kushoto) katika hafla ya Uzinduzi wa utandikaji wa waya mpya wa Umeme iliofanyika huko Fumba Wilaya ya Magharibi Unguja. katikati ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania  Alfonso Lenhart.    

picha zote kwa hisani ya Yusuf Simai- MAELEZO Zanzibar.

No comments:

Post a Comment