Friday, October 12, 2012

Sina hakika kama hiz ripoti nyingine huwa zinafanyiwa kazi...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na wajumbe wa  Tume ya kuzama kwa Meli ya Mv SKAGIT, iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Tume  hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa, walipofika  Ikulu Mjini Zanzibar jana.


Rais Dk.Ali Mohamed Shein, akipokea Ripoti ya Tume ya kuzama kwa meli ya Mv SKAGIT, kutoka Mwenyekiti wa Tume kuchunguza ajali ya meli hiyo Jaji Abdulhakim Ameir Issa, Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Picha zote kwa hisani ya MAELEZO Zanzibar.

No comments:

Post a Comment