Wednesday, October 10, 2012

Raha ya uandishi hii, kila mnapopata nafasi mnafanyiana utani...

Leo hii katika ofisi za tume ya haki, baada ya mkutano mwandishi wa ITV Ufoo Saro na Muhibu wa NIPASHE wakawa wanafanyiana utani. Nami nikaitumia nafasi hiyo kuwapiga picha ili kuionyesha jamii kuwa wanahabari tunapendana sana...

No comments:

Post a Comment