Sunday, October 7, 2012

Ripoti ya kifo cha mwanahabari Daud Mwangozi imekamilika. Dk Nchimbi anasema ataitoa siku ya jumanne kwa wanahabari.


Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Mwanachi Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga (kulia) akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Emmanuel Nchimbi ripoti ya Kamati aliyoiundwa kuchuguza kifo cha aliyekuwa mwandishi wa Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi .Kulia ni Mjumbe wa kamati hiyo, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Issaya Mngulu. Mkabidhiano hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam jana.
                          
                                  Picha na Rafael Lubava

No comments:

Post a Comment