Friday, October 5, 2012

Hongera Mzee Mneka, mwenyekiti wa Serikali za mitaa Tandale Alimaua B....Hili ni daraja la Mto Ngombe linaunganisha Tandale uzuri na Ali maua... Awali lilikuwa katika hali mbaya sana mvua zikinyesha linajaa maji mpaka juu, ikawa daraja linapata misukosuko na kukaribia kuvunjika. Sasa uchafu umechimbwa nadhani kwa mliowahi kulitumia daraja hili mtaona mabadiliko kidogo....

No comments:

Post a Comment