Friday, October 19, 2012

Leo nilipita katika makutano ya barabara pale kurasini nikakutana na ajali hii....


 Haya hata sijui na na huyu wa guta alipatwa na masaibu gani. Maana sehemu ajali ilipotokea nae nilimkuta kavurugwa.

Tatizo mahala hapa napo pana mkoronganyo mkubwa wa magari, kama udereva wako ni wa wasiwasi huwezi.

No comments:

Post a Comment