Tuesday, October 2, 2012

Tandale kwa Mtogole hapa.....


Kituo hiki kimekuwa na msongamano mkubwa wa abiria na magari, mpaka kimepewa jina la utani 'kituo cha mabasi ya mikoani'. Nimegundua kijitonyama, tandale na sinza kumehamia watu wengi sana kwa kipindi hiki.

Huu msongamano umesababishwa na magari yanayopita njia za ndani kutokea ubungo, sinza, kijitonyama, mwananyamala na manzese. Na yote yanatokea hapa Mtogole. Hivyo inapasa kuwepo askari wa usalama barabarani nyakati za asubuhi na jioni kuhakikisha magari hayaingiliani kama hivi...

HAFIDH A. KIDO
DAR ES SALAAM, TANZANIA
0713 593894/ 0752 593894
kidojembe@gmail.com
03/10/2012

No comments:

Post a Comment