Hapo juu anaonekana mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof Ibrahim Lipumba, akihutubia umatio wa watu waliohudhuria katika harambee hiyo jijini Dar es Salaam jana.
Lipumba alifanikiwa kuchangisha Tsh milioni 62, taslimu pamoja na ahadi jumla kuu ikiwa ni
Tsh milioni 120.
Picha zote kwa hisani ya Mjengwa Blog.
No comments:
Post a Comment