Kocha mpya wa Yanga Ernstus Brands akisaini mkataba wa mwaka
mmoja kwa ajili ya kuiona klabu ya Yanga,kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Yanga
Clement Sanga akimpa maelekezo.Kabla ya kujiunga na Yanga, kocha huyo alikuwa
akiifundisha APR ya Rwanda .
Picha kwa hisani ya mjengwa blog.
No comments:
Post a Comment